Tafsiri ya Maana ya Quran Tukufu Kwenye Lugha ya Kiswahili

Dr Abdalla Mohamed Abubakar na Sheikh Nassor Khamis Abdurahman
Shiriki:

Qur’ani tukufu ni maneno ya Allah Mtukufu Aliiteremsha hivi ilivyo, kwa herufi zake na maana yake, kwa Mtume wake Muhammad, rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie,
ambaye ni rehema kwa viumbe wote, mwenye kuleta bishara njema na mwenye kuonya, mwenye kuita watu waelekee kwa Allah Mtukufu kwa amri Yake na ambaye ni taa yenye kung’ara.