KIINI CHA MADA: Baada ya kuumbwa Adam (s.a.w), ujumbe mmoja wamepewa watu karne na karne, kuna umuhimu wa kuwakumbusha watu ujumbe huu na kuwaweka katika njia iliyo nyooka, amewatuma Mwenyezi Mungu mmoja wa kweli Manabii na Mitume kama vile Adam, Nuuh, Ibrahim, Mussa, Issa na Muhammad (s.a.w), ili wafikishe ujumbe mmoja nao ni: (Mungu wa kweli ni mmoja tu muabuduni).