Unaweza kupona kutokana na matatizo ya kifedha au kiafya, lakini wokovu mkubwa ni kutoka katika adhabu ya Akhera. Allah amesema: "atakaye epushwa na kuwekwa mbali na Moto na akaingizwa Peponi basi huyo amefanikiwa"[Al-'Imran:185].
Uislamu unaweka mbele yako lengo la kweli: kupata radhi ya Allah na Pepo yake, si kuridhika na mafanikio ya kidunia yanayopita.
#Ushindi_wa_Kweli
Shiriki: