TWAHARA NA SWALA

The Dawah, Guidance, and Community Awareness Association in Zulfi
Shiriki:

TWAHARA NA NAJISI. 

NAJISI YA HISIYA, ni najisi ambayo ni wajibu juu ya muislamu kuisafisha na kuiondoa na kuosha sehemu iliyopatwa na najisi hiyo. 

Ni wajibu kuosha nguo na mwili viliyoingiwa na najisi hiyo mpaka iondoke sehemu iliyoingia, ikiwa najisi inaonekana kama vile damu ya hedhi itaoshwa, ikiwa itabakia athari yake kutokana na ugumu wa kutoka basi itaachwa hakuna tatizo kwa kubaki kwa athari yake.