Shiriki:
Sasa basi Uislamu ni nini?? Neno uislamu katika lugha ya kiarabu lina maana ya kujisalimisha na kunyenyekea.
Ama neno hili kisheria ina maana ya :-
1- Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa kumpwekesha kwa ibada zote.
2- Na kumnyenyekea kwve kumtil
3- Na kujitenga mbali kabisa na ushirikina na washirikina.