Shiriki:
UISLAMU NDIO DINIYA KWELI Dini ya uislamu ndiyo dini ya kweli aliyoichagua Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa watu wote, na ndiyo dini ambayo pekee haikubaliwi dini nyingine mbele ya Mwenyezi Mungu, na anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Hakika dini ya kweli mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu" [A-Hmran: 19).