Shiriki:
Mambo ya wajibu kwa muislamu kujifunza:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu.
Tambua akurehemu Mwenyezi Mungu, yakwamba ni wajibu kwetu kujifunza mambo manne.
(La kwanza) Ni Elimu: Nayo ni kumfahamu Mwenyezi Mungu, Na kumfahamu Nabii wake, na kuifahamu dini ya uislamu kwa ushahidi.