Uislamu UJUMBE MFUPI KUHUSU UISLAMU

Bayan AL-Islam
Shiriki:

Hiki ni kitabu muhimu kinachokusanya maana fupi ya uislamu, kina bainisha misingi yake, na mafundisho yake, na mazuri yake kutoka katika vyanzo vyake asili navyo ni Qur'ani tukufu na mafundisho ya Mtume, na kitabu kina wahusu watu wazima waislamu na wasiokuwa waislamu kwa lugha zao na katika kila zama na maeneo kwa mazingira na hali tofauti.