"Fikiria kama wewe ndiye unayesimamia ulimwengu huu... Mbele yako kuna mtu anadhulumiwa, mtoto analia, na mtu asiye na hatia anafungwa gerezani. Je, ungekubali hili litokee? Au ungetoa msaada mara moja na kuondoa kila maumivu? Sasa jiulize:"
#Uislamu #Ukweli #Maana_ya_Maisha #Jadiliananauamue #ChatAndDecide
Shiriki: