"Sote tunakubaliana juu ya jambo moja... Uonevu ni mbaya. Iwe umetokea katika nchi yako… au katika nchi usiyoijua. Lakini subiri kidogo... Nani alisema kwamba uonevu ni ""mbaya""?
#Uislamu #Ukweli #Maana_ya_Maisha #Jadiliananauamue #ChatAndDecide
Shiriki: