Fikiria kidogo kama ungetazamwa kila wakati je matendo yako yangebadilika

chatanddecide

"Huenda hakuna anayekuona unapoamua kati ya sahihi na makosa… Lakini dhamiri yako inajua. Na Yule aliyekuumba, hakuna kitu kinachofichika kwake. ""Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.""  Mwito wa kutafakari… Je, mwanadamu kweli ana uhuru usio na mipaka?"

#Machapisho_ya_Daawa #Tafakari #Uislamu #Jadiliananauamue #ChatAndDecide


Shiriki: