"Nilikuwa naishi bila lengo… Hadi siku ile nilipotambua kuwa mimi ni “kiumbe,” na kwamba kuna aliyeniumba kwa hekima, si kwa mzaha. Kutoka hapo… ndipo hadithi yangu ilianza."
#Machapisho_ya_Daawa #Tafakari #Uislamu #Jadiliananauamue #ChatAndDecide
Shiriki: