NAMNA YA SWALA YA MTUME REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE

Abdul Aziz Bin Abdillah Bin Baz
Shiriki:

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. 

Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu pekee, na rehema na amani ziwe juu ya mja wake na mtume wake, nabii wetu

Muhammadi na watu wake na Maswahaba zake, ama baada hayo:- Haya ni maneno mafupi katika kubainisha namna ya swala ya
Mtume, nimetaka kuyaweka mbele ya kila Muislamu wa kiume na Muislamu wa kike, ili kila anayeisoma, ajitahidi kumuiga katika hilo,