Utangulizi wa seera ya mtume swalallahu alaihi wasalam

Sheikh Haytham Sarhan
Shiriki:

Utangulizi wa Seera ya Mtume Muhammad (swalla Allah alayhi wa sallam) ni maelezo ya maisha ya Mtume na historia yake tangu kuzaliwa hadi kifo chake.