Muhammad SAW ndio Nabii wa Mwisho

The Dawah, Guidance, and Community Awareness Association in Zulfi
Shiriki:

HALI ZA WAARABU KABLA YA MTUME KUTUMWA:

Ilikuwa kuabudu masanamu ndio dini kubwa kwa waarabu, kwa sababu ya kujiegemeza kwenye dini ambayo ina kwenda kinyume na dini iliyonyooka iliyofahamika zama zake kuwa ni dini ya kujahiliya.