Shiriki:
AUHEED NA AINA ZAKE.
Maana ya Tauheed.
Tauheed ni kumpwekesha Allah (sw) kwa yale ambayo ni khasa kwake yeye, ambayo ni wajibu katika aina za ibada, na hiyo tauheed ni katika jambo kubwa aliloliamrisha Allah (sw), Allah anasema katika quran: (“Sema yeye Allah ni mmoja tu”) (ikhlas: 1)