Je umewahi kujiuliza nini hutokea baada ya kifo

swahili.chatanddecide.com

Kifo si mwisho wa safari. Ni mwanzo wa safari mpya. Mwenyezi Mungu amesema: "Kila nafsi itaonja kifo, si vingine malipo yenu mtapewa yakiwa kamili siku ya kiyama," [Surat Al-'Imran: 185].

Katika Uislamu, dunia ni kituo cha muda tu, na Akhera ndiyo makazi ya milele. Matendo mema ndiyo bekabega yako kwa siku hiyo. Je, umejiandaa kwa safari ya milele?

#Akhira

Shiriki: