Maisha bila imani ni kama safari bila mwelekeo. Qur'ani inasema: "Na atakae jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki." [Taha:124].
Lakini anayemjua Allah, kila wakati katika maisha yake huwa na thamani na matumaini: "Atakayefanya mema, mwana-mume au mwanamke, ilhali ni muumini, basi kwa hakika tutampa maisha mema."[An-Nahl:97].
Uislamu unaunganisha kuwepo kwako na maana ya milele: kuwa mja wa Allah na kutenda mema.
#Imani
Shiriki: