Watu wengi hudhani kuwa uhuru ni kufuata matamanio bila mipaka, lakini hilo huzaa utumwa wa nafsi.
Uhuru katika Uislamu ni kujikomboa kutoka katika kila aina ya utumwa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu peke yake: (Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia iliyonyooka) [YaSin:61]
Uhuru wa kweli ni kuishi kwa mwanga wa haki, si kwa giza la matamanio.
#UhuruWaKweli
Shiriki: