MIMI NI MUISLAMU

Muhammadi bin Ibrahimu Alhamad.
Shiriki:

MIMI NI MUISLAMU1 Mimi ni Muislamu, kuwa hivyo anakusudia kuwa dini yangu ni Dini ya Uislamu, na Uislamu ni neno Tukufu lililotukuka walilo lirithi Manabii -Amani iwe juu yao- toka wa mwanzo wao na wa mwisho wao, na neno hili linabeba maana iliyo nzuri iliyo simama madhubuti iliyo na heshima, neno hilo linakusudia kujisalimisha