Qur ani Tukufu ni nini

quranEnc
Shiriki:

Qur-ani Tukufu ni maneno ya Mwenyezi Mungu Mols Mezi wa walimwengu wote na Muumba wan. Aliteramaha juu ya yule

wa mwisho wa Manabii na Mitume, Muhammad rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake. Ii, awabainishic wazadamu malengo ya kuumbwa kwao, na ili kuwaongocs kuyacodes yale yaliyomo furaha yao katika dunia na Akhera. Na ili kuwatos katokana na taabu ya milele baada ya kifo. Nacho ndicho Kitabu cha morisho kuteremka miongoni mwa vitabu vya Mwenyezi Mungu. Chanye kuvisadikisha (vitabu hiryo), na chenye kufuta sharia zarya.