Shiriki:
Maelezo mafupi kuhusu Mtume wa Uislamu Muhammad Allah Amshushie rehema na amani.
Kuhusu jina lake, nasaba yake, mji wake, kuoa kwake na ujumbe wake, Na alichokilingania, miujiza ya Utume wake, sheria yake na msimamo wa mahasimu dhidi yake.