Shiriki:
Tabia njema ni sifa miongoni mwa sifa za Manabii na waja Wema. Kwa kuwa zinapelekea kupandishwa mtu daraja. Na hakika Allah -Mtukufu- amemsifu Mtume wake Muhammad kupitia ayah ambayo imekusanya tabia njema zote, amesema -Mtukufu: “Na hakika wewe upo juu kwa tabia njema)” [Al- qalam: 4]