Shiriki:
kitabu hiki kilichofukizwa uturi wa kupendeza, kwa moshi wa kupuliza, ni tafsiri ya kitabu kiitwacho 'Mukhtasari Sharh Arkaanul-Islaam'. Asili ya kitabu chenyewe kimeandikwa katika Lugha ya Kiarabu, nami nikakifasiri tu, wala sikutia langu neno.