Kwa nini uamini Uislamu

swahili.chatanddecide.com
Shiriki:

Kwa kusema ukweli, ikiwa mtu hachoshwi na migongano au mafundisho yasiyoeleweka ya dini yake ya awali, mara nyingi hatakuwa na motisha ya kujifunza kuhusu Uislamu.