"Je, umewahi kujaribu kupata kila kitu ulichotamani? Kisha ukahisi bado kuna kitu kinakosekana? Labda ni maana… Ambayo hainunuliwi wala kutengenezwa, bali hugunduliwa. Na swali rahisi: Kwa nini niliumbwa? "
#Machapisho_ya_Daawa #Tafakari #Uislamu #Jadiliananauamue #ChatAndDecide
Shiriki: