"Kwa nini? Nini kinachowasukuma kufanya hivyo? Nini walichokipata katika Uislamu ambacho hawakukipata kwingine? Huenda hadithi yako iwe ndiyo inayofuata. Zungumza nasi sasa."
#Machapisho_ya_Daawa #Tafakari #Uislamu #Jadiliananauamue #ChatAndDecide
Shiriki: