Yeye ni Muhammad ibn Abdullahi ibn Abdulmuttalib ibn Hashim na Hashim ni kutoka kabila ya qureish na qureish ni katika waarabu na waarabu ni watoto wa
Alizaliwa katika miaka ya ndovu katika Makkah, mwezi wa Rabbiul awwal, ako na miaka sitini na tatu miongoni wa hizi miaka arobaini kabla ya kupata utume na miaka ishirini na tatu kama nabi na mtume. Alikuwa yatima, babake alikufa kabla ya kuzaliwa kwake, na babu yake Abdulmuttalib ndo alimlea, baada ya kifo cha babu yake alilelewa na mjombake Abu Talib.