Shiriki:
Kitabu hiki kinaelezea kwa nini Waislamu hufanya Hija, likichunguza siri na maana za kiroho za safari ya kwenda Makka. Kinaeleza hatua za Hija, malengo yake ya kiimani, na jinsi ibada hii inavyowaleta karibu na Allah, pamoja na mafundisho ya kifalsafa na kimaadili yanayohusiana na ibada hii muhimu.